Holyday STEM Camp.

Ni fursa nyingine tena kutoka kwa E3empower Africa, E3empower Africa unakuletea Holiday STEM Camp kwanzia tarehe 3 June 2019 na kuendelea. Ni wakati mzuri kwa mtoto wako kujifunza kuhusu technolojia na vitu mbalimbali kuhusiana computer.Mlete mtoto wako Summit center (jengo la Vodacom Arusha) ili ajifunze, kushiriki na kufurahi na watoto wenzake.Karibuni sana.Ubunifu ndio msingi wa Tanzania ya viwanda.